RABA ONE HOPEGIVERS ni kampuni ya Kitanzania inayozalisha Bidhaa mbalimbali za kiwandani kama vile; sabuni,mafuta ya mwili, hair products, perfume n,k tangu tangu ilipo pata usajili wake rasmi 2023.
Bidhaa zetuTunauzaJumla na Rejareja Tanzania nzima.
