Wazalishaji wa Bidhaa Bora na za Asili Tanzania kwa Ubora wa Hali Juu
Sabuni, Mafuta ya Kupaka Mwilini, Hair Products na Perfume. Nunua kwa Jumla au Rejareja moja kwa moja kutoka kiwandani kwetu. Pia Tunatafuta Mawakala Nchi Nzima.
Featured Products
-
Sabuni za Manjano + Maganda ya Machungwa
Sh10,000Original price was: Sh10,000.Sh5,000Current price is: Sh5,000. -
Hair Oil
Sh25,000Original price was: Sh25,000.Sh15,000Current price is: Sh15,000. -
Body Oil
Sh25,000Original price was: Sh25,000.Sh15,000Current price is: Sh15,000. -
Michirizi Oil
Sh25,000Original price was: Sh25,000.Sh10,000Current price is: Sh10,000.

Worldwide Shipping
Tunajivunia kuwafikia wateja wetu popote walipo, kuanzia mitaani kwetu mpaka kila kona ya dunia. Huduma yetu ya Worldwide Shipping imelenga kukupa urahisi na uhakika wa kupata bidhaa unayoipenda kutoka kwetu bila mipaka.

Best Quality
Tunazalisha wenyewe Ubora wa kiwandani unaoaminika. Bei ya jumla Faida kubwa kwa wauzaji. Tunadeliver Tanzania nzima Mikoa yote tunatuma. Brand inayoaminika Wateja wanarudia kununua.

Best Offers
Hapa RABA ONE, tunajua thamani ya kila shilingi unayotoa. Ndiyo maana tumekuwekea ofa ambazo huwezi kuzipata kwingine kote, zikiwa na lengo la kukupa bidhaa bora kwa bei inayogusa mfuko wako.

Secure Payments
Malipo Yako Yapo Salama Kabisa (Secure Payments) 🔒 Usalama wako ndio kipaumbele chetu namba moja, tumewekeza kwenye teknolojia za kisasa zaidi za ulinzi wa data ili kuhakikisha kila muamala unaofanya unakuwa wa siri na salama kwa 100%.








